0

Ni kawaida kuona wanamziki wetu kuomba kufanya collabo na wasanii waakubwa wanapokuja nchini
lakini hali ilikuwa tofsuti kwa Ambwene AY,kwa maelezo yake mwenyewe amedai mwanamziki nguli kutoka nigeria aliyekunukisha kwenye Fiesta 2013,amemwomba wafanye wimbo wa pamoja..msikilize hapo chini

Post a Comment

 
Top